Mimi Ni Wa Juu – Joel Lwaga

Kuna wakati wa giza Mbele sioni najiuliza Mbona kama hizi shida Zimekawia kuisha
Katikati ya maswali Nasikia sauti ndani Imebeba ujasiri Ikinitaka nikiri Nikisema

Mimi ni wa juu

Mimi ni wa juu

Mimi ni wa juu, Juu sana

Sitafsiriwi kwa haya Machozi na magumu Mimi ni mshindi tu Kamusi ndiye Mungu Haijalishi ni giza Yeye ni nuru yangu Nitashishinda hii vita Na yote yatakwisha

Nitasimama tena Nitainuka tena Mimi ni wa juu tu Mimi ni wa juu tu Nitasimama tena Nitainuka tena Mimi ni wa juu tu Mimi ni wa juu tu Mimi ni wa juu(ni wa juu sana)

Mimi ni wa juu(juu zaidi ya mawingu)

Mimi ni wa juu(juu sana) Juu sana(nimeketishwa juu sana)

Mimi ni wa juu(kwenye milele tu)

Mimi ni wa juu(nawaza yaliyo juu)

Mimi ni wa juu(juu saana)

Juu sana

 

Nawaza yaliyo(juu)

Nawaza yaliyo(juu)

Nawaza yaliyo(juu) Juu, Juu sana

Nawaza yaliyo(juu) Nawaza yaliyo(juu)

Nawaza yaliyo(juu) Juu, Juu sana

Mimi ni wa juu(haijalishi mazingira haya)

Mimi ni wa juu(haijalishi napitia nini)

Juu sana(yote yatapita) Mimi ni wa juu(mimi nitashinda tu)

Mimi ni wa juu(kwa juu sana) Mimi ni wa juu(juu sana) Juu sana

 

Sitafsiriwi kwa haya Machozi na magumu Mimi ni mshindi tu Kamusi ndiye Mungu

Leave a comment